Nav bar

Jumatano, 22 Oktoba 2014

Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania amtembelea Mhe. Waziri Kamani

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Kamani, mwenye miwani,  akizungumza na Viongozi wa Baraza la Kilimo Tanzania M/Kiti Dkt Yusuf Sinare wa pili kushoto na Katibu Bibi Bitegeko, Ofisini kwa Waziri Mvuvi House Dar-es-Salaam 

M/Kiti wa Baraza la Kilimo Tanzania akiwasilisha Mapendekezo na Changamoto za Sekta ya Mifugo na Uvuvi kwa Mhe Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus  Kamani


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni