![]() | |||
| Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Kamani alipokutana na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Ofisini kwake Mvuvi House Dar-es-salaam |
![]() |
| Mshauri Muelekezi wa Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bibi Bernadette Majebelle katikati |
![]() |
| Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba akiwa katika kikao cha Balozi wa Ufaransa Ofisini kwa Waziri |
![]() |
| Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bibi Catherine Joseph akijitambulisha kwa Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania |
![]() |
| Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Bw Baraka Mghulwi akijitambulisha |
![]() |
| Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombe akijitambulisha |
![]() |
| Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Uzalishaji Viumbe kwenye Maji Dkt Hamisi Nikuli akijitambulisha |
![]() |
| Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Kamaniakisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Ofisini kwake |
![]() |
| Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Bibi Melika Berak Ofisini kwa Waziri |
![]() |
| Balozi akiagana na Mshauri Elekezi mbele ya Jengo la Mvuvi House Makao Makuu ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi - Temeke Dar-es-salaam |


















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni