Mamlaka ya kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA) imetoa sare “trucksuits” kwa wanamichezo wote wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi zinazooneshwa na timu hiyo kwenye michuano ya SHIMIWI inayoendelea jijini Mwanza.
Akizungumza mara baada ya kupokea trucksuit hizo Mwenyekiti wa SHIMIWI Wizarani hapo Bw. Sebastian Shilangalila amemshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. Saleh Yahya kwa msaada huo ambao umeongeza ari na morali ya timu kwenye michuano hiyo.







Hakuna maoni:
Chapisha Maoni