Nav bar

Alhamisi, 23 Julai 2020

WARSHA YA KAMATI YA KITAIFA YA MWONGOZO WA HIARI WA KUHAKIKISHA UVUVI MDOGO UNAKUWA ENDELEVU


Picha ya Pamoja ya baadhi ya Washiriki wa warsha ya kutoa maoni juu ya Mwongozo wa Hiari wa kuhakikisha Uvuvi Mdogo unakuwa endelevu iliyofanyika katika Kata ya Kilwa Kivinje,Halmashauri ya Kilwa Masoko. (22.07.2020)Mratibu wa Mpango wa Mwongozo wa Hiari wa kuendeleza Uvuvi Mdogo, Bi. Lilian Ibengwe (picha ya pili kulia) akikusanya Maoni ya wadau kwenye Warsha ya kutoa Maoni ya Wadau wa Uvuvi Mdogo katika Kata ya Kilwa Kivinje,Halmashauri ya Kilwa Masoko. (22.07.2020)Mdau wa Uvuvi Mdogo, Bw.Faridu Shaweji wa Kilwa Kivinje akitoa Maoni yake leo kwenye Warsha ya utoaji maoni kwenye Warsha ya kutoa Maoni ya Wadau wa Uvuvi Mdogo katika Kata ya Kilwa Kivinje, Halmashauri ya Kilwa Masoko. (22.07.2020)


Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Mwongozo wa Hiari wa kuhakikisha Uvuvi Mdogo unakuwa endelevu, Bw.Yahaya Mgawe akitoa maelezo kwenye Warsha ya kutoa Maoni ya Wadau wa Uvuvi Mdogo katika Kata ya Kilwa Kivinje, Halmashauri ya Kilwa Masoko. (22.07.2020)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni