| keki zilizoandaliwa na Watumishi wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa ajili ya kuwaaga wastaafu wa Wizara hiyo iliyofanyika Mvuvi House |
| Mkurugenzi wa Ugavi na Manunuzi Bw. Gastory Lugali akiwa na Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani Bw. Herbert wakikata keki kwa pamoja iliyoandaliwa na Watumishi wa Wizara hiyo |
![]() |
| Mkurugenzi wa Ugavi na Manunuzi Bw. Gastory Lugali akiwa na Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani Bw. Herbert Lyimo wakilishana keki hiyo |
| Mkurugenzi wa Utafiti wa mafunzo na Ugani Bw. Herbert Lyimo akizungumza machache na kuwaaga Watumishi wote kwa kushirikiana kufanya kazi kwa umoja na kuwatakia kila la kheri katika kujenga taifa |
| Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi Bw. Gastory Lugali akitoa machache na kuwasihi watumishi kuwa na umoja na mshikaano ili kufikia malengo |
![]() |
| Katibu Mkuu Mifugo Dkt. Mary Mashingo akilishwa keki na Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani Bw. Herbert Lyimo |
![]() |
| Katibu Mkuu Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akilishwa keki na Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi Bw. Gastory Lugali |
![]() |
| Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Bi. Tabu Chando akilishwa keki na Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi Bw. Gastory Lugali |





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni