Nav bar

Jumatatu, 1 Agosti 2016

MHE. WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. SOSPETER M. MUHONGO AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE ILIYOFANYIKA KITAIFA MKOA WA LINDI KWA NIABA YA MAKAMU WA RAIS WA JAMUHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 01/08/2016

Mgeni rasmi Prof.Sospeter Muhongo Mhe. Waziri wa Nishati na Madini (kulia) ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Bw. William Tate Ole Nasha akifatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego na (kushoto) ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi  Mhe. Godfrey Zambi
Mgeni rasmi Mhe.Prof. Sospeter Muhongo Waziri wa Nishati na Madini  akisoma hotuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane  kwa niaba ya Makamu wa Rais yaliyofanyika katika viwanja vya Ngongo  Mkoa wa Lindi
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Bw. William Tate Ole Nasha akisoma hotuba fupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi
Mama Salma Kikwete Mke wa  Rais  Mstafu waJamuhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya nne  Mh.Jakaya Kikwete   akizungumza maneno machache kabla ya Ufunguzi wa maonesho hayo
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego akitoa utambulisho kwa wageni waliohudhuria maonesho ya Nanenane Mkoa wa Lindi
Wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba inayosomwa na mgeni rasmi (hayupo pichani)
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza kabla ya ufunguzi wa maonesho hayo katika viwanja vya Ngongo


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni