![]() |
| Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi anaeyeshughulikia sekta ya (Uvuvi) Dkt. Yohana Budeba asaini kitabu cha wageni alipotembelea shamba la mfugaji Kigamboni |
![]() |
| Muonekano wa mabwawa ya samaki Kigamboni |
![]() |
| Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akioneshwa mazingira ya bwawa la kufugia samaki na Mdau Bw. Abdul Kamugisha |
![]() |
| Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akipewa maelezo na Bw. George mdau wa shamba la Aqua Big Fish |
![]() |
| Mazingira ya bwawa la Aqua Big Fish Kigamboni |
![]() |
| Samaki wanaofugwa aina ya Kambare |
![]() |
| Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akiangalia samaki aina ya sato waliofikisha wiki mbili (2) |
![]() |
| Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akiwa na Dkt. Maika Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye maji wakiangalia Sehemu ya kuhifadhia samaki baada ya kutotoleshwa ili waweze kukua kwa nafasi |









Hakuna maoni:
Chapisha Maoni