Nav bar

Jumatano, 6 Aprili 2016

ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO,UVUVI NA MAJI WALIPOTEMBELEA RANCHI YA TAIFA YA NARCO TAREHE 05/04/2016Katibu Mkuu Mifugo Dkt. Maria Mashingo akiwakaribisha wabunge katika Ranchi ya Narco kwa ajili ya kukagua miradi ya Maendeleo,kutoka kulia ni Mhe.Martha Mlata katibu wa kamati,Mhe.Mary Nagu mwenyekiti wa kamati na kushoto ni Maneger wa Ranchi za Taifa Dkt.Bwire kafumu

Dkt. Bwire Kafumu akitoa maelezo mafupi ya Ranchi ya taifa ya Narco kwa kamati ya kudumu ya Bunge. 
Wabunge wakiangalia moja ya bwawa lililopo ndani ya Ranchi hiyo( Bwawa halipo pichani)

Bwawa  hili hutumika kunyweshea  maji mifugo iliyopo ndani ya   Ranchi ya Taifa ya Narco (Bwawa hilo linaitwa YUGO)Baadhi ya ng'ombe aina ya Bohorani waliopo katika Ranchi ya Taifa ya Narco
                                     


Wajumbe wa kamati ya Bunge ya kudumu wakiangalia ng'ombe (hawapo pichani)


Kondoo waliopo katika Ranchi ya Taifa ya NarcoMbuzi  waliopo katika Ranchi ya Taifa ya NarcoFarasi nao wanafugwa katika Ranchi ya Taifa ya  Narco Ruvu
Hakuna maoni:

Chapisha Maoni