Nav bar

Alhamisi, 11 Februari 2016

WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA (GEITA, MWANZA, KAGERA,MARA,SIMIYU NA SHINYANGA) WATAMBULISHWA MPANGO BUNIFU WA MODENIZATION WA SEKTA YA MIFUGO



Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Bedan Masuruli akifungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo Katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Mwanza, Ambapo alimuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dkt Maria Mashingo.
Mshauri Elekezi wa Mpango Bunifu wa Modenization Dkt. Kaush Arha Akiwa Meza Kuu pamoja na Kaimu Mkurugenzi  wa  Utafiti Mafunzo  na Ugani  Bw Hezironi Kitosi  na Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango  Bw Deusdedit Rwezaura
wadau wa Sekta ya Mifugo Kanda ya Ziwa Wkimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Sera  na Mipango Bw  Deusdedit Rwezaura 








Hakuna maoni:

Chapisha Maoni