Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi Mhe.William Tate Ole Nasha akisaini kitabu cha Wageni katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele. |
Mkuu wa Wilaya ya Mlele Bw. Issa Suleiman akisoma taarifa fupi kwa Naibu Waziri Mhe. William Tate Ole Nasha |
Wanakijiji wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Naibu Waziri Mhe. William Tate Ole Nasha |
Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha akitoa fursa kwa Wanakijiji kueleza kero zao bila hofu yoyote |
Bw. Eleman Katala Mkulima Wilaya ya Mlele akieleza kero yake kuhusu malipo ya dola hawana utaalamu huo |
moja kati ya njia ya kuelekea kijiji cha Mlele ambapo daraja limekatika na wananchi wanapata tabu ya kuvuka kutokana na kasi kubwa ya maji |
Bw. Innko Afisa Kilimo wa Mkoa akijitambulisha kwa Wananchi wa Kijiji cha Mwankulu Wilaya ya Mpanda |
Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha akizungumza na wanakijij na kuwaahidi kushughulikia migogoro sugu ya Wafugaji na Wakulima na kero mbalimbali hasa Vyama vya Ushirika |
Bw. Nasonga ligima mwanakijiji wa Mwankulu akiomba kijiji kipatiwe bwana shamba wa kuweza kuwasaidia katika shughuli zao za kilimo |
Mkulima Bi. Yunis Moses akitoa ushauri kwa Watendaji juu ya upatikanaji wa mbegu bora pamoja na mbolea ya ruzuku kwa wakati. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni