Nav bar

Jumanne, 16 Juni 2015

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE ZAMBI (MB) AKITOA SHUKRANI KWA WANACHAMA WA SHIRIKA LA CHAKULA LA UMOJA WA MATAIFA (FAO) KWA KUMCHAGUA MHE. BALOZI JOSEPH NGIRIWA KUWA MWENYEKITI WA BARAZA KUU LA SHIRIKI HILI (INDEPENDENT CHAIR OF THE FAO COUNCIL) KIPINDI KINGINE CHA MIAKA 2MJINI ROME

Balozi Joseph Ngiriwa mwenyekiti huru wa FAO COUNCILambaye amechagulliwa kwa kura zote jiji la Rome Italy
Balozi wa Italy na Mwakilishi wa kudumu wa mashirika ya kudumu ya Umoja wa mataifa yaliyopo Mjini Rome (FAO, IFAD na WFP) Mhandisi akiwa kwenye mkutano wa 39 wa FAO siku ya kufunga mkutano 13 juni 2015
Princess wa Uhispania ambaye amechaguliwa kuwa Balozi wa masuala ya chakula (Good Embassador - Nutrition wa FAO) akihutubia mkutano wa 39 wa FAO

Wajumbe wa mkutano wa 39 wa FAO wakisimama kushangilia ushindi wa Balozi Joseph Ngiriwa



Balozi wa Tanzania Nncho Itali Mhandisi Msekela akisalimia na mama wa kitanzania ambaye ni mtaalamu wa sheria wa Shirika la Kilimo na chakula la Umoja wa Mataifa, Rome Italia
Mhe Joseph Ngiriwa akipongezwa na viongozi wengine jukwaa kuu baada ya kuchaguliwa kwa kura zote

Katibu Mkuu wa Wizaraya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akiwa na baadhi ya wajumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa 39 wa Shiriki la Chakula na Kilimo la umoja wa mataifa Rome Italy




Balozi wa Tanzania Nchi Itali Mhandisi Msekela wa pili kulia akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Godrey Zambi (Mb) Naibu Waziri Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Balozi Joseph Ngiriwa ambaye amechaguliwa kuwa Mwenyekiti huru wa baraza la Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa mataifa kwa miaka 2 ijayona pamoja na maafisa wakifurahia ushindi wa balozi Ngiriwa
 



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni