Nav bar

Jumatano, 8 Oktoba 2014

WIZARA YAKUSANYA TAKWIMU ZA MIFUGO NA MAZAO YATOKANAYO NA MIFUGO VIJIJINI

VIFAA KWA AJILI YA KUKUSANYA TAKWIMU ZA MAZIWA VIKIWASILISHWA KATIKA SHULE YA MSINGI KITANGIRI KWA AJILI YA KUGAIWA WAFUGAJI WAKATI WAKIPATA MAFUNZO
WAFUGAJI NA WATAAALAM KUTOKA WIZARANI NA VIJIJI WALIKUTANA KWA PAMOJA KATIKA KUTOA ELIMU YA UKUSANYAJI WA TAKWIMU ZA SEKTA YA MIFUGOKATIKA OFISI YA MIFUGO YA WILAYA YA NZEGA  MKOA WA  TABORA


VIFAA VILIVYOANDALIWA KWA AJILI YA KUWEKEA MAZIWA  AMBAYO YATATOA TAKWIMU SAHIHI YA UZALISHAJI MAZIWA VIJIJINI
WAYUMISHI WA IDARA YA MIFUGO YA WILAYA YA NZEGA WAKIANGALIA VIFAA WALIVYOKABIDHIWA KWA AJILI YA KUHAKIKI NA IDADI YA WAFUGAJI WANAOSHIRIKI KWENYE UKUSANYAJI WA TAKWIMU HUSIKA

WAFUGAJI WAKIPATA MAFUNZO YA UKUSANYAJI WA TAKWIMU KATIKA DARASA LILILOANDALIWA KATIKA KIJIJI CHA KITANGIRI NZEGA VIJIJINI
WAFUGAJI WALIOSHIRIKI KWENYE MAFUNZO WAKIULIZA MASWALI KUTOKA KWA WATAALAM  HAWAPO PICHANI
MTAALAM ALIYEFIKA KATIKA BOMA LA MFUGAJI KWA AJILI YA KUKUSANYA TAKWIMU

WATAALAM WA TAKWIMU KUTOKA WIZARANI WAKIULIZA MASWALI KWA MFUGAJI KABLA YA KUANZA ZOEZI LA KUKUSANYA TAKWIMU
MFUGAJI AKIJARIBU KUJAZA DODOSO LILILOTOLEWA NA WATAALAM

MIGUGO YA MFUGAJI HAPO JUU IKIWA KATIKA BOMA
MTAALAM KUTOKA WIZARANI BW MRINDOKO AKIANGALIA MIFUGO YA MFUGAJI A


UNYONYESHAJI WA NDAMA  MOJA KWA MOJA KUTOKA KWA  NGOMBE INAKUWA VIGUMU KUTAMBUA KAMA NDAMA AMESHIBA PIA KUJUA NGOMBE ANATOA MAZIWA KIASI GANI

MFUGAJI  AKIJAZA DODOSO LA WATAALAM WA TAKWIMU ZA MIFUGO
KUKU WA ASILI  NI BAADHI YA MIFUGO INAYOPATIKANA KARIBU KILA KAYA YA KIJIJI  HAPA TANZANIA WATAALAM WALISHIRIKI KUKUSANYA NA TAKWIMU ZA KUKU
KUKU ANYEONEKANA KATIKA PICHA ANA UWEZO WA KUTAGA MAYAI ISHIRINI

BAADHI YA MAYAI YA KUKU HUYO AMBAPO MENGINE YAMEWEZA KUTUMIWA NA MFUGAJI KAMA CHAKULA KATIKA KUPATA LISHE BORA YA PROTINI
NG'OMBE WAKIWA NDANI YA BOMA LAO
MAAFISA MIFUGO WA KATA TARAFA NA VIJIJI WALIO WENGI HUPATIWA USAFIRI WA PIKIPIKI KWA AJILI YA KURAHISISHA KUTOA HUDUMA ZA MIFUGO PALE WAFUGAJI WANAPOHITAJI

MGUGAJI MAMA ALIYESIMAMA PEMBENI AKISAIDIANA NA MUMEWE ALIYESHIKA KARATASI HAONEKANI KUJIBU MASWALI YANAYOULIZWA NA WATAALAM  WA TAKWIMU ZA MIFUGO
MFUGAJI MWENYE KIKOMBE AKIELIMISHWA JINSI YA KUTUMIA KIKOMBE HICHO WAKATI WA UKUSANYAJI TAKWIMU ZA MAZIWA ALIYEKO PEMBENI YAKE NI MTAALAM  BW MRINDOKO WAKATI MFUGAJI MWINGINE ALIYE NA MTOTO PEMBENI AKISIKILIZA KWA MAKINI 
WATAALAM WAKIBADILISHANA MAWAZO NA WAFUGAJI

HAYA NDIO MAISHA YA KILA SIKU YA NYUMBANI VIJIJINI

MAMA WA KINYAMWEZI AMEPIGA MAGOTI AKIPOKEA KIJITABU CHA KUWEKEA KUMBUKUMBU ZAKE ZA TAKWIMU HUO NI UTAMADUNI WA KABILA LA KINYAMWEZI KUPIGA GOTI WAKATI WA KUONGEA NA MWANAMME YEYOTE


MFUGAJI AKIJIBU KWA MAKINI MASWALI YALIYOKUWA YANAULIZWA NA WATAALAM WA MIFUGO WA TAKWIMU

KATIKA BOMA HILI WALIKUTA KIFO CHA NG'OMBE MWENYE DAMU YA FRISIAN AMEKUFA NA ANATOA DAMU MDOMONI NA MASIKIONI





MTAALAM ALIVAA SOKSI ZA MIKONO ILI KUCHUKUA SAMPULI  ZA KUPELEKA MAABARA, SOKSI  HUZUIA KUSHIKA MOJA KWA MOJA MWILI WA NG'OMBE HUYO KWA KUWA ANAWEZA KUWA NA UGONJWA WA KUAMBUKIZA BINADAMU
Add caption

HIKI NI KICHAKA KINATUMIKA KAMA NYUMBA YA KUKU AMBAYO HAIZUII WANYAMA WA PORINI KUWAKAMATA KUKU HASA NYAKATI ZA USIKU














































































MFUGAJI WA MIAKA IJAYO JE TUNAMUANDAAJE






MFUGAJI WA MIAKA IJAYO MSOMI

MSOMI AKIANGALIA TAKWIMU ZA MIFUGO YA FAMILIA YAO AKIWA NA MTAALAM WA MIFUGO WA KUKUSANYA TAKWIMU




















Hakuna maoni:

Chapisha Maoni