Nav bar

Ijumaa, 5 Septemba 2014

MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WA WAZIRI MKUU WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA MHE KAYANZA MIZENGO PETER PINDA


WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. MIZENGO KAYANZA PETER PINDA AKIBADILISHANA MAWAZO NA WAKUU WA MIKOA  NJE YA UKUMBI WA MALAIKA HOTELI   WALIOHUDHURIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO MWANZA MALAIKA HOTELIINSPECTA GENERALI WA POLISI TANZANIA  MHE. ERNEST MANGU PIA ALIHUDHURIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO PEMBENI YAKE NI MHE JAMES  LEMBELI M/KITI WA KAMATI YA BUNGE YA  ARDHI NA MALI YA ASILI 
KATIBU MKUU WA WIZIRA  YA MALIASILI NA UTALII BIBI MAIMUNA TARISHI ALIYEMUWAKILISHA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII WA KWANZA KUSHOTO
MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE  ARDHI NA MALI YA ASILI   MHE JAMES LIMBELI AKIFATILIA JAMBO WAKATI  WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  HAYUPO  PICHANI  . 
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE KAYANZA  MIZENGO PETER PINDA AKIONGEA JAMBO NA KAIMU MKUU WA MKOA WA MWANZA  MHE.PASCAL MABITI
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MNE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI AKITOA HOTUBA KABLA YA KUMKARIBISHA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HAYUPO PICHANI  KUSHOTO NI NAIBU WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA  MHE ZAMBI, KATIKATI NI NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE HAIKA TELELEKUSHOTO WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI NA NAIBU WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA MHE GODFREY ZAMBI WAKIFATILIA KWA MAKINI HOTUBA YA WAZIRI MKUU WAKATI WA UFUGUZI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO ULIOFANYIKA MWANZA KATIKA HOTELI YA MALAIKA


MKUU WA WILAYA YA IRINGA MHE DKT  AKIJITAMBULISHA KWA WAZIRI MKUU KAMA MUWAKILISHI WA MKUU WA MKOA WA IRINGA 
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE KAYANZA MIZENGO PETER PINDA AKITOA HOTUBA WAKATI WA UZINDUZI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KATIKA UKUMBI WA MALAIKA HOTELI -MWANZA

KUSHOTO WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI AKIWASILISHA HOTUBA YAKE KWA  WAZIRI MKUU,  HAYUPO PICHANI WAKATI WA UFUGUZI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO ULIOFANYIKA MWANZA KATIKA HOTELI YA MALAIKA
KUSHOTO WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI NA NAIBU WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA MHE GODFREY ZAMBI WAKIFATILIA KWA MAKINI HOTUBA YA WAZIRI MKUU WAKATI WA UFUGUZI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO ULIOFANYIKA MWANZA KATIKA HOTELI YA MALAIKA

NAIBU WAZIRI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MTAA  MHE AGGREY MWANRI AKITOA SALAM ZA WIZARA YAKE KWA NIABA YA WAZIRI KWA WAJUMBE WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO
WADAU WA SEKTA YA MIFUGO NA WATENDAJI WA  WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WAKISIKILIZA KWA MAKINI HOTUBA YA WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE KAYANZA MIZENGO PETER PINDA AKIFATILIA JAMBO WAKATI WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE DKT TITUS MLENGEYA KAMANI  HAYUPO PICHANI, AKITOA MAELEZO YA KUMKARIBISHA  NA KUELEZA HALI YA SEKTA YA MIFUGO 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni