![]() |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI AKIHUTUBIA WANANCHI WA KIJIJI CHA MSOMERA WILAYA YA HANDENI |
![]() |
WANAKIJIJI WA MSOMERA HANDENI WAKIMSIKILIZA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI HAYUPO PICHANI |
![]() |
WANAKIJIJI CHA MSOMERA HANDENI WAKISIKILIZA HOTUBA YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI HAYUPO PICHANI |
![]() |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI AKISHIRIKI NA WANAKIJIJI CHA MSOMERA KUPATA CHAKULA CHA MCHANA KIJIJINI HAPO |
![]() |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI AKIWASHUIKURU WANANCHI WA KIJI CHA MSONERA KWA MAPOKEZI YAO |
![]() |
AHDHA KUBWA YA KIJIJI CHA MSONERA NI MAJI KATIKA PICHA WANAKIJIJI WAKICHOTA MAJI KATIKA KISIMA KWA AJILI YA KUNYWESHA MIFUGO YAO HAIPO PICHANI |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni