Nav bar

Jumapili, 6 Aprili 2014

MAANDALIZI YA MIAKA HAMSINI YA MUUNGANO - MAMLAKA YA UVUVI WA BAHARI KUU


AFISA MAWASILIANO WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR BI SEMENI RASHID AKIWA KATIKA PICHA NA MPIGA PICHA WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TANZANIA BW NICHOLOUS MMBAGA WAKATI WA KUREKODI KAZI MBALIMBALI ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

BAADHI YA BOTI NA NGALAWA ZA WAVUVI KATIKA UFUKWE WA FUMBAZANZIBAR  BAHARI YA HINDI


MWENYEKITI WA WAVUVI KIJIJI CHA NUNWI ZANZIBAR BW CHEUPE YUSUF AKITOA UFAFANUZI KWA MWANDISHI WA HABARI BIBI CEALINE JOJO


BAADHI YA SAMAKI WALIOLETA KWENYE SOKO LA MNADA WA SAMAKI NUNGWI ZANZIBARAINA MBALIMBALI ZA SAMAKI KATIKA SOKO LA MNANDA LA NUNGWI


BAADHI YA WAVUVI WAKITOKA KUVUIA SAMAKI NA KULETA KATIKA SOKO LA MNADA ;LA NUNGWI

AINA MBALIMBALI ZA SAMAKI ZINAZONADIWA KATIKA SOKO LA NUNGWIMWANDISHI NA MPIGA PICHA WA TBC 1 BW NICHOLOUS MMBAGA  AKIWA NA MWANDISHI WA HABARI WA ZBC

NAIBU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BAHARI KUU BW RASHID HOZA AKIPATA CHAKULA CHA MCHANA KATIKA KANTINI YA MAMLAKA HIYO
MGAVI WA MAMALAKA YA USIMAMIZI WA BAHARI KUU BIBI UANJO

WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BAHARI KUU WAKIWA OFISINI KWAO

SAMAKI AINA YA .CHUCHUNGE ALIYEVULIWA KATIKA BAHARI YA HINDI NA KUNADIWA KATIKA SOKO LA MNADA WA SAMAKI NUNGWIAINA MBALIMBALI ZA SAMAKI WANAOPATIKANA SOKO LA NUNGWIMNADA WA NUNGWI UNA WACHUUZI MBALIMBALI AMBAO HUNADI SAMAKI WAO NA KUJIPOPATIA KIPATO CHA UHAKIKA

BIBI ZUENA MAHFUDHI MMOJA WA WAKINAMAMA WANAOKWENDA PWANI KWA AJILI YA KUTAFUTA RIZIKI ZITOKANAZO NA VIUMBE KWENYE MAJI

BIBI ZUENA MAHFUDHI AKIFANYA MAHOJIANO NA AFISA MAWASILIANO WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI AMBAYE HAYUPO PICHANI

HIZI NI BIDHAA ZINAZOTAFUTWA NA KINAMAMA KATIKA UFUKWE WA BAHARI MAJI YANAPOKUPWA KWA AJILI YA KITOWEO

BIDHAA HII YA BAHARINI NA MAAFURU KATIKA UFUKWE WA FUMBA KWA AJILI YA BIASHARA KWA KINAMAMA AMBAO HUMUDU KUENDESHA MAISHA YA YA KILA SIKU

BAADHI YA KINA MAMA WA FUMBA ZANZIBAR WAKITOKA PWANI KUTAFUTA AINA MBALIMBALI ZA VIUMBE KWENYE MAJI AMBAVYO HUVITUMIA KWA KUFANYA BIASHARA NA CHAKULA KWA FAMILIA ZAO


AFISA UTUMISHI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA UVUVI KATIKA BAHARI KUU BIBI ZUHURA


BIBI MARIA NKOMOLA NI MKAGUZI NA AFISA UVUVI MWANDAMIZI ALIYEPO KATIKA MAMALAKA YA USIMAMIZI WA UVUVI KATIKA BAHARI KUU FUMBA ZANZIBAR

NAIBU MKURUGENZI MKUU WA MAMALAKA YA USIMAMIZI WA UVUVI KATIKA BAHARI KUU BW RASHID HOZA AKIONGEA NA AFISA MAWASILIANO WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI BIBI JUDITH MHINA KATIKA KIPINDI CHA MAPUMZIKO CHA CHAKULA CHA MCHANA


AFISA UVUVI MWANDAMIZI BW ..............AMBAYE YUPO MAKAO MAKUU YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA UVUVI KATIKA BAHARI KUU


AFISA UGAVI WA MAMALAKA YA USIMAMIZI WA UVUVI KATIKA BAHARI KUU BI UANJO AKIONGEA NA MWANDISHI WA HABARI BIBI CEALINE NJOJO

AFISA UVUVI MWANDAMIZI BW KAWISHE WA KWANZA KULIA AKIBADILISHANA MAWAZO NA MWANDISI WA HABARI BI CEALINE JOJO NA AFISA UVUVI KUSHOTO


BIBI SEMENI RASHID AKIWA KATIKA SHUGHULI ZA KIKAZI MAMALAKA YA USIMAMIZI WA UVUVI KATIKA BAHARI KUU

BIBI ZUWENA AKIWA NA WENZAKE MARA BAADA YA KUTOKA PWANI YA FUMBA KUTAFUTA VIUMBE KWENYE MAJI AMBAVYO HUUZA NA ZIADA KUFANYA KITOWEO KWA KUKIDHI MAISHA YAO YA KILA SIKU

USISHANGAE KUONA MSURURU WA KINAMAMA WAKITOKEA PWANI WAKO KATIKA SHUGHULI  NA NDOO KICHWANI HIZO NI KKAZI ZA KILA SIKU KAMA WAFANYA BIASHARA
AMINI USIAMINI WAKINA MAMA HAWA WANAPIGA MAKASIA KATIKA KUTAFUTA RIZIKI ITOKANAYO NA VIUMBE KWENYE MAJI KAMA WANAVYOONEKANA KATIKA PICHA

HONGERA KWA MAMA HUYUI ATOKAE PWANI NA BONGE LA SAMAKI

BAADHI YA BIDHAA WANAZOOKOTA PWANI NI KAMA INAVYOONEKANA KATIKA NDOO

KINACHOONEKANA KATIKA PICHA NI BAHARI JONGOO AMBAPO KWA SHERIA ZA TANZANIA BARA SHERIA HAIRUHUSU KUWAVUA ILA SHERIA YA TANZAIA ZANZIBAR INARUHUSU

BIDHAA ZINAZITAFUTWA NA KUUZWA SANA NA KINA MAMA


MWANDISHI WA HABARI WA TBC 1 BW NICHOLAUS MBAGA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni