Nav bar

Jumatatu, 10 Machi 2014

MKUTANO WA WADAU SEKTA YA MIFUGO TAREHE 08/03/2014 KATIKA UKUMBI WA VETA DODOMA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya  Mifugo na Uvuvi Dkt Charles Nyamrunda ,akimkaribisha Waziri Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani,kulia kwa waziri ni  Naibu Waziri Ole Telele na pembeni ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Maji na Mifugo Mhe Said Mkuwba  
Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo katika Ukumbi wa VETA  Dodoma
Wadau wa Sekta ya Mifugo wakifatilia kwa karibu yale yanayosemwa na Mhe. Waziri hayupo pichani 



Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombe akijibu baadhi ya hoja za Wadau 










MC na Mkurugenzi Msaidizi Bw Mwita  akitoa maelezo wakati wa Kikao cha Wadau wa Sekta ya Mifugo kilichofanyika katika Hoteli ya VETA  DODOMA

Bw Conrad Ndoma Afisa Mazingira katika Idara ya Uzalishaji wa Mifugo na Masoko ambaye ni Sekretarieti ya Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo  

Khatibu Muhtasi Bi, ................... akiwa katika shughuli zake wakati wa Kikao cha WADAU wa Sekta ya  Mifugo 

Bw Temu Afisa Masoko akibadilishana mawazo na Bibi Doreen Maro ambaye ni muwakilishi wa Bunge Maalum la Katiba 

Bw Temu Afisa Masoko akibadilishana mawazo na Bibi Doreen Maro ambaye ni muwakilishi wa Bunge Maalum la Katiba 






Mdau wa Sekta ya Mifugo kutoka kikundi cha Engteng cha Simanjiro 






















Afisa wa Bunge wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi  Bw Mmanda 




Mwenyekiti wa Wafugaji wa Kanda ya Ziwa Bw......................akiwa anafatilia kwa makini maelezo wakati wa kikao cha Sekta ya Mifugo


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni