| Wanaoonekana katika picha kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti Mafunzo na Ugani Dkt Mohammed Bahari wanaofatia ni Wastaafu Bibi Cristina Lyimo, Bibi Happyness Mnyachibwe na Dkt S. B. Meena |
| Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Ugani wakifatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Ugani |
| Katika picha ni Maafisa Ugani kushoto Bw Ivishai Matemba na kulia ni Bibi Mary Yongolo |
| Katika picha kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Ugani na Usajili Bibi Magreth Bakuname katikati, Bibi Magreth ...............na wisho kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Dkt Lyimo |
| Baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Idara waliohudhuria sherehe za waastaafu wa Idara ya Utafiti , Mafunzo na Ugani. |
| Mkurugenzi Msaidizi akieleza jambo wakati wa sherehe za waastaafu wa idara ya DRTE |
| Bibi Vicky Mwaikono akikabidhi zawadi kwa mmojawapo wa Waastaafu |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni