Nav bar

Jumanne, 28 Januari 2014

WIZARA YAPATA WAZIRI MPYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Dkt Titus Mlengea Kamani kuwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi (MMUV) Ikulu Dar-es-salaam Jumatatu tarehe 20/01/2014
Waziri wa MMU Mhe. Dkt Titus Mlengea Kamani akipewa zana kufanyia kazi katika Wizara hiyo

Waziri Mhe. Dkt Titus Mlengea Kamani akisaini kiapo alichoapa mbele ya Rais.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Maendeleo ya Migfugo na Uvuvi katika picha ya pamoja mara baada ya kuapishwa kwa waziri.
Aliyekuwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David akiingia katika viwanja vya Wizara ya MMUV 

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengea Kamani (Mb) akikumbatiana kwa furaha na aliyekuwa Waziri wa MMUV Mhe. Dkt  David Mathayo David (Mb) mara alipowasili ofisini kwake kwa ajili ya zoezi la makabidhiano.
Mhe. Dkt David Mathayo David, akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Waziri wa MMUV

Waziri wa MMUV, Mhe. Dkt Kamani, Mhe. Dkt David Mathayo David, na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara MUV  wakielekea katika ukumbi wa mikutano wa Wizara, kwa ajili ya zoezi la makabidhiano. 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya MMUV, Dkt Yohana Budeba akikaribisha Waziri, aliyekuwa waziri, Wakuu wa Idara na Vitengo, Taasisi, Wakala, Shirika na Waandishi wa Habari katika zoezi zima la makabidhiano. 

Baadhi ya Wakuu wa Idara wakijitan mbulisha kwa Mhe. Waziri , anayeonekana akijitambulisha ni Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo Dkt Abdul Hyagaimo

Baadhi ya Wakurugenzi, Katibu wa Naibu Waziri na Katibu wa Bunge wakifatilia kwa karibu makabidhiano hayo. 
Baadhi ya Waandishi wa Habari wako pembeni kabisa wakifatilia makabidhiano yano na kuhakikisha wanapata Taarifa  muhimu ya kuhabarisha, kufahamisha na kuelimisha watanzania walio kwenye meza ni baadhi ya  Wakurugenzi wakisikiliza  Makabidhiano hayo kwa makini.
Mhe. Dkt David Mathayo David akiongea na vyombo vya Habari wakati wa Makabidhiano

Mhe Dkt David Mathayo David akimkabidhi vitendea kazi muhimu vya Wizara kama Sera, Mipango Mikakati, Sheria  nk


Mhe. Dkt David Mathayo David akiwashukuru Watendaji wote wa Wizara, na Waandishi wa Habari wakati wa makabidhiano na Waziri MMUV Mhe Dkt Titus Mlengea KamaniHakuna maoni:

Chapisha Maoni