![]() |
| BAADHI YA MAAFISA MIFUGO KUTOKA WILAYA MBALIMBALI NA MIKOA WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA KASSIMU MAJALIWA (HAYUPO KWENYE PICHA) |
![]() |
| BAADHI YA WAKURUGENZI WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO KUTOKA WIZARA NA TAASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI |
![]() |
| WAZIRI WA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI MHE.ENG.DR.CHARLES TIZEBA AKIMKARIBISHA WAZIRI MKUU ILI AWEZE KUONGEA NA MAAFISA MIFUGO |
![]() |
| WAZIRI WA TAMISEMI MHE GEORGE SIMBACHAWENE AKIMKARIBISHA WAZIRI WA KILIMO MIFUGO NA UVUVI MHE.ENG.DR.CHARLES TIZEBA ILI AWEZE KUMKARIBISHA WAZIRI MKUU AONGEE NA MAAFISA MIFUGO |
![]() |
| WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA KASSIMU MAJALIWA AKIHUTUBIA MAAFISA MIFUGO WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO |
![]() |
| MKURUGENZI WA UZALISHAJI WA MIFUGO NA MASOKO BI.ANUSIATHA NJOMBE AKISOMA RISALA FUPI KABLA YA KUZINDUA MPANGO ENDELEVU WA KUENDELEZA MIFUGO NCHINI |







