Kurasa
(Hamishia kwenye ...)
Nyumbani
MAELEZO KUJIBU KERO ZA WAVUVI WADOGO WA CHAMA CHA WAVUVI WA MINAZI MIKINDA KWA SERIKALI
HOTUBA ZA WAZIRI NA TAARIFA MBALIMBALI
Contact Us
TAARIFA ZA MIGOGORO YA WAKULIMA, WAFUGAJI NA WATUMIAJI WENGINE WA ARDHI
MATUKIO KATIKA PICHA
VIDEO CLIPS MATUKIO, MIKUTANO NA MAADHIMISHO MBALIMBALI YA WIZARA
ELIMU KWA UMMA VIPINDI VYA REDIO NA LUNINGA UFUGAJ...
SPECIAL REPORT: How Darwinian theory emerged in ...
JARIDA
YASEMAVYO MAGAZETI/TV/RADIO KUHUSU SEKTA YA MIFUGO/UVUVI
MATANGAZO
▼
Jumatano, 24 Desemba 2025
"SITACHOKA KUWASEMEA, KUWAPAMBANIA VIJANA WA KITANZANIA" - MHE. NG'WASI
›
Na, Hamisi Hussein, Singida Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambae pia ni Mbunge wa Kundi la Vijana kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe....
DKT. BASHIRU AHIMIZA MJADALA ULINZI WA RASILIMALI ZA UVUVI
›
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewataka wadau wote wa sekta ya Uvuvi kushirikiana na Serikali kujadili na ...
Jumanne, 23 Desemba 2025
DKT. BASHIRU AALIKA WAWEKEZAJI WA NDANI UFUGAJI SAMAKI KWA NJIA YA VIZIMBA
›
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewataka wawekezaji wa ndani kuchangamkia fursa nyingi zilizopo kwenye tasn...
Jumamosi, 20 Desemba 2025
MHE. KAMANI: “WAFUGAJI SHIKANENI MKONO NA SERIKALI KUHUSU MAJI.”
›
Na. Edward Kondela Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Ng’wasi Kamani amewataka wafugaji kote nchini kushirikiana na serikali kujenga mabwa...
DKT. NCHEMBA AVUTIWA NA VIWANGO BANDARI YA UVUVI
›
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba amevutiwa na viwango vya ujenzi wa bandari ya Uvuvi inayokamilishwa...
Ijumaa, 19 Desemba 2025
WAFUGAJI WATAKIWA KUWA NA UHAKIKA WA MALISHO YA MUDA MREFU
›
Na. Edward Kondela Jamii ya wafugaji katika Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wametakiwa kuweka malengo ya muda mrefu ya kuwa na maeneo ya...
Jumatano, 17 Desemba 2025
WANAOLIMA MAENEO YA MALISHO, WAONYWA WAONDOKE
›
Na. Edward Kondela Wafugaji na wakulima wanaolima kwenye maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya malisho ya mifugo wametakiwa kuondoka mara moja kw...
DKT. BASHIRU AONGEZA MSUKUMO KWENYE MAPATO UVUVI WA BAHARI KUU
›
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ameitaka Mamlaka ya kusimamia Uvuvi wa bahari kuu (DFSA) kuongeza kiwango ch...
Jumanne, 16 Desemba 2025
DKT. BASHIRU AAGIZA MAMBO 6 KATIKA KUTEKELEZA MRADI WA MAZIWA NCHINI
›
Na. Hamisi Hussein, Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally, ameiagiza timu ya wataalam wanaotekeleza Mradi wa Mage...
Jumatatu, 15 Desemba 2025
TALIRI YATAKIWA KUFANYA TAFITI ZENYE KUONGEZA THAMANI YA MIFUGO MASOKO YA NJE YA NCHI
›
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ameitaka Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) kuhakikisha tafiti z...
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti