ZIARA YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MH. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI , MKOA WA KAGERA 08-11/06/2014
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe DktTitus Kamani (mwenye Miwani) na Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Bibi Darry Rwegasira katika Mkutano na Kijiji cha Kahanga Karagwe. 10/06/2014
Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Mhe. Bibi Darry Rwegasira
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Kamani akiwa katika picha ya pamoja N Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Bibi Darry Rwegasira na Uongozi wa Chuo cha Mafunzo ya Mifugo (LITA) Kikurula Wilaya ya Karagwe
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni