Mhe
Waziri alipoingia eneo la ushonaji wa bidhaa za ngozi katika kiwanda
cha ngozi Himo.Kwenye picha ni mmoja wa washonaji bidhaa za ngozi
akionyesha kazi zake kwa Waziri.
 |
Bw
Uiso (kulia kwa waziri) akionyesha ngozi liliyosindikwa na kuongezwa
dhamani kwa Mhe. Waziri Dkt David Mathayo David (katikati) na Mkuu wa
Wilaya ya Moshi Mhe Mussa Samizi.
 |
Sehemu ya ushonaji bidhaa za ngozi katika kiwanda cha Himo.
 |
| Mhe. Waziri akionyeshwa mfumo wa Maji taka katika Kiwanda cha Himo Tanneries. |
|
|
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni