Kurasa

TAARIFA YA MSIBA

PICHA ZA MSIBA WA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UTAWALA NA MENEJIMENTI YA RASILIMALI WATU MAREHEMU JOHN PATRICE YAMO MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMINA
 























Jumatano, 6 Julai 2011

WAZIRI ATEMBELEA RANCHI YA KONGWA DODOMA

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David,  akihutubia wananchi na wafanyakazi wa Ranchi ya Kongwa wakati wa Uzinduzi wa Duka la Kisasa la kuuza nyama


Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David (MB) akiangalia ghala la kuhifadhia malisho ya mifugo Ranchi ya Kongwa 
 
Waziri wa Mendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David (MB) akiwa katika  picha ya pamoja na Uongozi wa Shirika la Ranchi za Taifa  (NARCO)