Mkurugenzi wa Uvuvi Prof. Mohammed Sheikh ameongoza ujumbe wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bi. Agnes Meena kutembelea Taasisi za Uvuvi nchini Korea.
Katika ujumbe huo Prof. Sheikh ameambatana na wataalam wengine kutoka wizarani na ambapo amefanya mazungumzo na Menejimenti ya Taasisi ya Sayansi ya Bahari na Teknolojia (KIOST) na Taasisi za Uvuvi nchini humo.





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni