Nav bar

Jumanne, 10 Mei 2022

Mkuu wa Masuala ya Lishe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Watoto (UNICEF) Tanzania Bw. Patrick Codija, amekutana na viongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) katika ofisi ndogo za wizara zilizopo jengo la NBC jijini Dodoma ambapo amesema UNICEF imechangia Shilingi Milioni 138 serikalini kwa ajili ya kuandaa afua za utekelezaji wa programu ya unywaji maziwa shuleni. Mpango huo unatarajiwa kuanza katika mwaka wa fedha 2022/23.

 Mkuu wa Masuala ya Lishe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Watoto (UNICEF) Tanzania Bw. Patrick Codija, amekutana na viongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) katika ofisi ndogo za wizara zilizopo jengo la NBC jijini Dodoma ambapo amesema UNICEF imechangia Shilingi Milioni 138 serikalini kwa ajili ya kuandaa afua za utekelezaji wa programu ya unywaji maziwa shuleni. Mpango huo unatarajiwa kuanza katika mwaka wa fedha 2022/23. (05.05.2022)


Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Bw. Tixon Nzunda (kulia) akiwa na Mkuu wa Masuala ya Lishe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Watoto (UNICEF) Tanzania, Bw. Patrick Codija katika ofisi ndogo za wizara zilizopo katika jengo la NBC jijini Dodoma, ambapo wamejadili masuala ya lishe, hususan utekelezaji wa Mpango wa Unywaji Maziwa Shuleni. (05.05.2022)Hakuna maoni:

Chapisha Maoni