Nav bar

VIPINDI VYA REDIO

Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi vipindi vya Ufugaji wa Kisasa vinarushwa kila siku ya Jumatano Tanzania Broadcasting Cooperation TBC- Taifa kila siku ya Jumatano saa 11na dakika 45, mpaka saa 12:00 kamili jioni. 

Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi inayofuraha kuwataarifu wadau wote kuwa vipindi vya redio 'JE, WEWE NI MDAU?' vitaanza kurushwa Radio Free Africa (RFA) kuanzia tarehe 19-03-2011 kila Jumamosi kuaniza saa 12.30 mpaka saa 12:45 jioni.. Pia unaweza kusikiliza mfululizo wa vipindi hivyo katika blog yetu. Wizara inapenda kuwashirikisha wadau wote katika kutoa maoni, mapendekezo  au ushauri kupitia blog hii ili kuboresha vipindi vyetu .

Programu ya 'JE, WEWE NI MDAU?', pia ina vipindi vinavyorushwa  Radio One Stereo (ROS) kuanzia tarehe 28 Mei, 2011 kila siku ya Jumanne kuanzia saa 12:00 mpaka 12:15 jioni.
Sikiliza Hapa 


Sikiliza vipindi vinavyorushwa redio One Stereo
1.Utangulizi  2. Utambuzi  3.Sheria ya malisho

Mfululizo wa Vipindi vya Redio kwa mwaka wa fedha 2012/2013 unaendelea kama ilivyoainishwa hapo juu. Redio Free Africa na Radio One Sterio. Kama ada vipindi vyote vitaunganishwa na Blog ya Habari .Vpindi vitakuwa hewani kuanzia mwezi  Mei - Julai  2013 WADAU WOTE MNAKARIBISHWA<<<<<<<<<<<<<<<<

Vipindi vya Redio kwa Mwaka wa fedha 2013/2014 vimeandaliwa na vitawekwa kwenye Blog ya Habari ya Wizara. Aidha, kutokana na kusubiri dirisha la kuwekeza fedha za kurushia vipindi tunawaomba mvute subira mara tutakapoweka sawa vipindi (20) vitarushwa. naomba radhi kwa niaba ya wzara kwa WADAU WOTE.   

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni