Nav bar

Ijumaa, 6 Oktoba 2017

KATIBU MKUU UVUVI DKT. YOHANA BUDEBA AKIKABIDHI MAGARI 11 YALIYOTOLEWA NA MRADI WA SWIOFISH ILIYOFANYIKA MVUVI HOUSE

Zoezi la kukabidhi Magari 11 yaliyotolewa na Mradi wa SWIOFISH lilofanyika Mvuvi House 


Katibu Mkuu Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akimkabidhi funguo za gari Mkurugenzi wa ukuzaji viumbe kwenye maji Bi. Ritha


zoezi likiendelea la kukabidhi funguo kwa baadhi ya Wakurugenzi wa Idara kuu Uvuvi


Katibu Mkuu Dkt. Yoahana Budeba na wakurugenzi wa uvuvi wakifurahia baada ya kukata utepe magari yaliyotokana na mradi huo


Katibu Mkuu Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akikata utepe kwa ajili ya kukabidhi magari hayo yaliyotolewa na Mradi wa SWIOFISH


Dkt. Yohana Budeba akimkabidhi funguo za gari Mratibu wa Mradi huo Bi. Flora Luhanga


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni