Nav bar

Alhamisi, 11 Agosti 2016

MASHINDANO YA WANYAMA ILIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA NZUGUNI TAREHE 05/08/2016 MKOANI DODOMA


Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba akitoa hotuba kwa washiriki wa mashindano ya mifugo iliyofanyika katika viwanja vya Nzuguni
Baadhi ya ng'ombe walioshindanishwa wakipita mbele ya mgeni rasmi
Katibu Mkuu Idara Kuu Mifugo Dkt. Maria Mashingo kushoto kwake ni wakurugenzi kutoka Idara ya DRTE na TVLA akiangalia mashindano hayo


Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba  akiwa na Katibu Mkuu Idara Kuu Mifugo Dkt. Maria Mashingo  akiangalia baadhi ya bidhaa zitokanazo na kampuni ya kuzalisha  maziwa ya ASAS

Ng'ombe wa maziwa akiswagwa ili apite mbele ya mgeni rasmi

Ng'ombe wa nyama aina ya borani alieshindanishwa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni