| Baadhi ya wajumbe wa wajumbe wa mkutano wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mh Wsaziri wa KMU( hayupo pichani) |
| Waziri wa KMU Mh. Mwigulu Nchemba akitoa maelezo kwenye mkutano |
| Mkuu wa jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Ernest Mangu akiwa kwenye mkutano huu |
| Mkurugenzi wa uvuvi katika Wizara ya KMU bwana Hosea Gonza Mbilinyi wa tatu kutoka kulia akimsikilza kwa makini mkuu wa jeshi la polisi |
| Waziri wa KMU Mh Mwigulu Nchemba akitoa maelezo kuhusu umuhimu wa boti hizo kwa ajili ya doria |
| Katibu Mkuu wa Wizara ya KMU (Uvuvi) Dr Yohana Budeba kushoto akiwa na Mkurugenzi wa uvuvi Bw Hosea Gonza Mbilinyi kulia |
| Wataalam kutoka kampuni ya CMESCOMMANDMULTROLE-ULCRAFASTPACROLOAT kutoka kushoto ni Bw Aleksandr Zinrman na Bw Francisco Gargiulo |
| Boti ya kisasa ya doria aina ya CMES 40 yenye uwezo wa kukimbia zaidi ya KM 160 kwa saa inayotarajiwa kununuliwa ikiwa kazini |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni