Nav bar

Ijumaa, 29 Mei 2015

Ziara ya mafunzo ya Uvuvi wa Bahari kuu nchini seychelles -kwa wajumbe wa kamati ya Bunge ya KIlimo, Mifugo na Maji - FisZIARA YA MAFUNZO YA UVUVI WA BAHARI KUU NCHINI SEYCHELLES - KWA WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO NA MAJI - FISHING AUTHORITY MAHE PLATEAU










KUKAMILIKA KWA MRADI WA MAJI KWA WANANCHI WA JAMII YA WAFUGAJI KATIKA WILAYA YA KITETO - MANYARA





















UZINDUZI WA WIKI YA MAZIWA KITAIFA MKOANI MANYARA TAREHE 28/05/ 2015

Mkuu wa Mkoa  Manyara Mhe. Joel Bendera akiwahutubia wadau wa Maziwa katika  uzinduzi ya wiki ya Maziwa katika Viwanja vya kwa Raha mjini Babati


Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joel Bendera akigawa maziwa kwa Wananchi wa Mkoa wa Manyara

Baadhi ya Mifugo wanaoneshwa katika Maonesho hayo ni pamoja na Ngamia ambao wanatoa maziwa mengi na bora ambao wamekuwa kivutio kikubwa kwa wadau na wananchi wa mkoa wa Manyara


Ng'ombe Dume aina ya AYRSHIRE  mwenye umri wa miaka 4(minne) ambao wapo katika maonesho



Ng'ombe majike wa maziwa aina FRIESIAN wenye umri wa miaka 4(minne) ambao wapo kwenye maonesho  hayo.





Mbuzi  Dume wa  maziwa aina ya TOGHENBURG akiwa katika maonesho



Jumamosi, 23 Mei 2015

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE.DKT TITUS KAMANI AZINDUA DUKA LA NYAMA LA NARCO KIBAIGWA MKOA WA DODOMA

Kikundi cha ngoma wakitumbuiza pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt Titus Kamani



Waziri wa Maendeleo wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt Titus Kamani akisaini katika kitabu cha wageni alipotembelea duka la nyama la NARCO kibaigwa mkoani Dodoma


Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi  Mhe.Dkt Titus Kamani akizindua duka la nyama la NARCO kibaigwa mkoani Dodoma
Meneja wa ranchi ya Kongwa Bw. Bizimungu wakibadilishana mawili matatu na Mhe. Dkt. Titus Kamani

Dkt. John Mbogoma Meneja Mkuu wa kampuni za Ranchi Tanzania akitoa hotuba fupi


Dkt. John Mbogoma Meneja Mkuu wa kampuni za Ranchi Tanzania wakipeana mikono kumkaribisha Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt.Titus Kamani




Ng'ombe wa nyama kutoka Ranchi ya Kongwa katika mamlaka ya mji mdogo kibaigwa 







Alhamisi, 21 Mei 2015

WAZIRI KAMANI ASOMA BAJETI YA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI 20/05/2015

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Bungeni

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani akiangalia vielelezo anavyotumia katika kujibu Hoja na maswali ya Wabunge kuhusu Hotuba aliyowasilisha. Aliye naye ni Naibu Waziri Mhe Kaika Saning'o Telele ambaye ansisitiza Jambo
Mhe Waziri akijibu Maswwali na Hoja za Wabunge
Mkurugenzi Mkuuu  NARCO  Dkt John Mbogoma Akibadilishana mawazo na Katibu wa Waziri Bw Mwakipesile Mara baada ya kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge

Mhe. Waziri Kamani Akipongezwa na Wadau mbalimbali Mara Baada ya Kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge Dodoma
Mhe. Waziri Kamani akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Mhe Kaika Telele , Wakurugenzi wa Wizara na Wadau wa Sekta ya Mifugo na Uvuvi Mara baada ya kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge

Mkurugenzi wa Manunuzi Bw Gaston Lugali akiwa na Mwanasheria wa Wizara Bw Herman Lyimo na Irene Lukindo Wakitoka ndani ya Ukumbi wa Bunge
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Bungeni 

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi  Nhe Kaika Saning'o Telele akipongezwa na Katibu Mkuu wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba na pembeni ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango


Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Kaika  Saning'o Telele akiwa katika picha ya pamoja na Bi Judith Mhina Afisa Mawasiliano na Bi Nganisa Masawe Mhasibu wa Wizara  Mara baada ya Bajeti ya Wizara kupita nje ya Ukumbi wa Bunge
Pembeni mwa Lango Kuu la Ukumbi wa Bunge Waziri Naibu Waziri wakipongezwa Mara Baada ya Kutoka
Mhe Dkt Kamani (mwenye suti nyeusi) akiwa na Mama Magdalena Kamani na Mkurugenzi wa Mafunzo Utafiti na Ugani Dkt Mohammed Bahari na Katibu wa Waziri Bw Mwakipesile Mara Baada ya Bajeti ya Wizara Kupitishwa nje ya Ukumbi wa Bunge