| Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Madunga Mantara wakitumbuiza mbele ya Mgeni Rasmi Mhe. Dkt. Titus Kamani Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
| Kikundi cha JKT Oljoro Manyara Nao pia walipata nafasi ya kutumbuiza katika maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Duniani |
| Mhe. Dkt Titus Kamani akihutubia wananchi katika viwanja vya kwa Raha Mkoa wa Manyara siku ya kilele cha Maadhimisho hayo. |
| Baadhi ya Mifugo iliyoletwa kwenye maonesho hayo ilipita mbele ya mgeni rasmi |
| Mgeni rasmi Mhe. Dkt Titus Kamani akipita katika mabanda kuona bidhaa mbalimbali |
| Brand Manager wa Kampuni ya TSN Bw. Loth Mlule akitoa maelezo mafupi ya bidhaa kwa mgeni rasmi Mhe. Dkt Titus Kamani |
| Dkt. Titus Kamani akisaini kitabu cha Wageni katika Kampuni ya Madawa ya Mifugo ya Madunga Vetagro Center Ltd. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni