Nav bar

Jumatano, 29 Aprili 2015

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. KAIKA TELELE AKIFATILIA MRADI WA RAMAT WA MALISHO YA MIFUGO KATIKA HIFADHI YA NGORONGORO

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Kaika Telele akiongea na Mhifadhi nMkuu wa Kanda ya Kokasye Bw John Mkonyi katika Ofisi za Hifadhi za Kokesye kabla ya kutembelea Mradi wa RAMAT wa Malisho
Uoto wa Asili Uliopo Katika Hifadhi ya Ngorongoro CreatorSehemu Pekee Duniani Ambapo Wanyama Pori Wankaa Maeneo na Binadamu ambao ni Jamii ya Wamasai
Hili ni Eneo la Uwanda wa Chini wa Ngorongoro Creator

Mhe Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Kaika Telele Akikagua Eneo la Mradi wa RAMAT ndani ya Uzio Uliozungushwa kwa Ajili ya Kuzuia Wanyama Kuingia ili Kukuza Nyasi kwa Ajili ya Malisho ya Mifugo
Mhe Naibu Waziri akiwa na askari wa Hifadhi ya Kanda ya Kokesyo ya Ngorongoro na Diwani wa eneo hilo Pamoja na Mwenyekiti wa Kijiji cha Endulen na Kokesyo Muda Mfupi kKabla ya Kutembelea Maradi wa RAMAT wa Malisho ya Mifugo Unaofadhiliwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

Eneo Maalum la Kuangalia Bonde la Ngorongoro Ambapo Waasisi na Wafadhili Waliweka Kumbukumbu Zao

Baadhi ya Mifugo ya Wenyeji wa Ngorongoro ikiwa Pamoja na Punda Milia Wakati wa Kutafuta Malisho
Hakuna maoni:

Chapisha Maoni