| Mkurugenzi wa Uvuvi Bw Hosea Mbilinyi wa pili kutoka kushoto akifatilia majibu ya Wavuvi yaliyochangiwa na Wakurugenzi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
| Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba akiongoja Mjadala wa Kutoa Majibu ya Hoja za Wavuvi Wadogo Wadogo |
| Bibi Victoria Mwaikono akitoa huduma ya Viburudisho kwa Wakurugenzi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
| Mkurugunzi wa Uzalishaji Viumbe kwenye Maji Dkt Charles Mahika anayefata Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu Bw Rashid Hoza |
| Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombeanayefata Dkt Martin Ruheta wakifatilia Majibu ya Hoja za Wavuvi Wadogo Wadogo Bungeni Dodoma |
| Afisa Uvuvi Bw Melikizedeki Kody na Bw Katunzi waliopo mbele kushoto na kulia wakifatilia kwa Makini Hoja za Wavuvi Wadogo wadogoBungeni Dodoma |
| Maafisa Uvuvi Bibi Jorvis Mkuchu na Bibi Merinsiana Waandishi wa Majibu za Hoja za Wavuvi Wadogowadogo zilizotolewa Bungeni Ddoma |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni