Nav bar

Jumatatu, 1 Septemba 2014

ZIARA YA WAZIRI MABWAWA YA VIFARANGA VYA SAMAKI MACHUI NA HIFADHI YA BAHARI NA MAENEO TENGEFU KIGOMBE TANGA


WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI MWENYE MIWANI KUTOKA KUSHOTO AKIANGALIA VIFARANGA VYA SAMAKI KATIKA KITUO CHA KUTOTOLEA VIFARANGA HIVYO KILICHOPO MACHUI TANGA


WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI WATATU KUSHOTO AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA MKUU WA KITUO CHA KUTOTOLEA VIFARANGA VYA SAMAKI WA MAJI CHUMVI BW ALI OMARY  MACHUI TANGA

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI AKIPATA MAELEZO YA KITUO HICHO KUTOKA KWA KAIMU MKURUGENZI WA UZALISHAJI VIUMBE KWENYE MAJI BIBI RITHA MALE MWENYE KITENGE CHA CHANO NA KIJANI
MKUU WA KITUO CHA UZALISHAJI VIUMBE KWENYE MAJI MACHUI AKISOMA RISALA MBELE YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI  ALIPOTEMBELEA KITUO HICHO

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI WA PILI KUSHOTO AKIPATA MAELEZO YA BOTI INAYOONEKANA KATIKA PICHA , ILIYOCHOMWA NA WAVUVI HARAMU. KUTOKA KWA MENEJA WA UHIFADHI WA BAHARI NA MAENEO TENGEFU DKT. MACHUMU WA TATU KUSHOTO 

MKUU WA KITUO CHA UHIFADHI WA BAHARI NA MAENEO TENGEFU WA KIGOMBE TANGA BIBI ANITA KILEO WA KWANZA KUSHOTO AKIFATILIA JAMBO WAKATI WA ZIARA YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI ANAYEWASHA MOTO KWENYE NYAVU AKIFANYA ZOEZI LA KUTEKETEZA NYAVU HARAMU ALIPOFANYA ZIARA KWENYE KITUO CHA HIFADHI ZA BAHARI NA MAENEO TENGEFU KIGOMBE TANGA

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI MWENYE MIWANI AKIONGEA NA WANANCHI WA KIGOMBE WALIOFIKA KWENYE KITUO CHA HIFADHI ZA BAHARI NA MAENEO TENGEFU
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAFANYAKAZI WA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI, MAENDELEO YA UVUVI,  HIFADHI ZA BAHARI NA MAENEO TENGEFU, SERIKALI YA KIJIJI NA UONGOZI WA MKOA  

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni