Nav bar

Jumamosi, 2 Agosti 2014

ZIARA YA WAZIRI KATIKA PICHA IMEANZA UKURASA ULIOTANGULIA (click old postmwisho wa picha hizi) MUENDELEZO ZIARA YA WAZIRI MTWARA


KUTOKA UKURASA WA ZIARA YA WAZIRI MKOA WA  MTWARAMkurugenzi Mkuu wa COSTECH Dkt Hassan Mshinda akitoa maelezo mafupi katika Uzinduzi huo kama muwezeshaji katika kujenga jengo la Utafiti wa Mifugo MtwaraMeza Kuu ikifatilia kwa makini Hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH Dkt Hassan Mshinda

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo   na Uvuvi (MUV) Dkt Yohana Budeba akitoa maelezo mafupi ya Kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, ili aweze kumkaribisha Mgeni wake Waziri aongee na Hadhara iliyopo mbele yake

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Eng Joseph Simbakalia akimlkaribisha Mgeni wake Waziri wa MUV aweze kuongea na hadhara iliyopo mbele yake Kushoto mwa Mkuu wa Mkoa ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Ndile 
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiongea na hadhara iliyopo mbele yake
Meza Kuu wakifatilia kwa Makini Hotuba ya Mhe Waziri


 
Hadhara iliyohudhuria Uznduzi huo ikimsikiliza Mhe Waziri MUV.Wafugaji, watumishi na wananchi wanaozunguke Kijiji cha Naliendele wakifatilia kwa makini Hotuba ya Mhe. Waziri


Mhe Waziri akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kituo cha Kanda cha Uchunguzi wa Maradhi ya Mifugo Mtwara 
Mhe. Waziri akiwa katika picha ya Pamoja na Wafanyakazi wa Mkoa wa Mtwara,  Walioketi  ni viongozi, Waziri wa MUV (katikati) Mkuu wa Mkoa Mtwara  (kulia kwa Waziri) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TALIRI. (kushoto kwa Waziri ni Kaimu Katibu Mkuu wa MUV na Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH  
Waziri wa MUV katika picha ya pamoja na Wafugaji wa Kijiji cha Naliendele kata ya Naliendele Mtwara waliohudhuria Uzinduzi wa jengo hilo.
MC wa shughuli hiyo Bibi Nyuki kwa kweli alitoa burudani ya aina yake katika kusheheresha Uzinduzi wa Jengo hilo.

Mwenyekiti wa Club ya Waandishi wa Habari ( Press Club) wa Mkoa wa Mtwara Bw Hassan Simba, akifatilia kwa Makini Hotuba ya Mhe Waziri


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni