Nav bar

Jumamosi, 1 Machi 2014

TAASISI YA UTAFITI MPWAPWA ZIARA YA WAZIRI MHE DKT TITUS MLENGEYA KAMANI KATIKA TAASISI YA UTAFITI WA MIFUGO TANZANIA (TALIRI)

ZIARA ILIYOFANYIKA TAREHE 19/02/2014
Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti ya Mifugo Tanzania iliyopo Mpwapwa Dkt Daniel Komwihangilo

Katibu wa Waziri Bw Mwakipesile akisalimiana na baadhi ya Maafisa wa TALIRI
Mhe Dkt Kamani akisaini kitabu cha wageni TALIRI


Watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania wakiwa kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wakati Mhe Waziri anasaini kitabu 

Mhe Waziri akielekea kutembelea maeneo ya Taasisi ya Utafiti ya Mifugo Tanzania yaliyopo Mpwapwa 

Mhe Dkt Kamani akiangalia mbegu za nyasi 


Mhe. Dkt Kamani akiangalia nyasi zilizopandwa kwa kuchanganya na mahindi 


Mtafiti wa TALIRI upande wa Malisho akitoa maelezo kwa Mhe. Waziri Dkt Kamani

Eneo la Malisho linahotaji ulinzi anayeonekana mbele ya Waziri ni Mlinzi wa eneo la Malisho akitambulishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi Dkt Daniel Komwihangilo 

Mhe Waziri akiangalia ramani ya mashamba ya malisho na Taasisi ya Utafiti ya Mifugo Tanzania Mpwapwa  

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni